Wednesday, October 28, 2020

Rummenigge akiri Bundesliga imezidiwa kifedha

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MUNICH, Ujerumani

MWENYEKITI wa klabu ya Bayern Munich, Karl-Heinz Rummenigge, amekiri kushangazwa na kiwango cha mshahara wanacholipwa wachezaji mbalimbali duniani.

“Real Madrid imeongeza mkataba wa  wachezaji watatu, huku Cristiano Ronaldo akilipwa Euro milioni 20.5 kwa mwaka baada ya kukatwa kodi,” Rummenigge aliiambia Sport Bild.

Wachezaji wengine walioongezwa mkataba ni Gareth Bale na Toni Kroos na Rummenigge kusema kwamba hakuna mchezaji hata mmoja Bundesliga anayelipwa kiwango hicho cha fedha baada ya kodi kukatwa.

Mbali na Bayern Munich, timu nyingine zinazoshiriki  Bundesliga zinashindwa kushindana kimapato na timu za Ligi Kuu ya England.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -