Wednesday, November 25, 2020

RUVU KUTUMIA SILAHA 20 KUIUA MBEYA CITY

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA CLARA ALPHONCE,

RUVU Shooting wameondoka jijini Dar es Salaam, kwenda mkoani Mbeya katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya wenyeji wao, Mbeya City, utakaochezwa kesho kwenye Uwanja wa Sokoine.

Akizungumza na BINGWA Ofisa habari wa timu hiyo, Masau Bwire, alisema wanatarajia kutumia silaha 20 kuiangamiza Mbeya City.

Bwire alisema wachezaji wao waliondoka jana kwa ajili ya mchezo huo, ambao ni muhimu kwao kushinda ili waweze kujiweka katika mazingira bora kwenye msimamo wa ligi hiyo.

“Mikakati yetu ni kushinda michezo yote sita iliyosalia, hatutaki yatukute yaliyotukuta msimu wa mwaka juzi ya kushuka daraja” alisema Bwire.

Alisema baada ya mchezo huo kikosi chao kikiongozwa na Luteni wa Jeshi Stanley Chahe, kitakwenda Kyela, ambako watacheza mchezo mmoja wa kirafiki Aprili 2, mwaka huu.

Bwire alisema baadaye watarejea Dar es Salaam, kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Majimaji utakaochezwa katika Uwanja wa Mabatini mkoani Pwani.

Alisema wanahitaji kushinda ili waweze kujiongezea pointi ili kujiweka salama na panga la kushuka daraja.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -