Friday, October 30, 2020

Saida Karoli aifagilia ‘Salome’ ya Diamond Platnumz

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA CHRISTOPHER MSEKENA

SIKU kadhaa baada ya nyota wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, kuachia wimbo wake mpya unaoitwa Salome uliowahi kuimbwa miaka ya 2000 na msanii Saida Karoli, staa huyo wa nyimbo za asili, amesema wimbo huo umetendewa haki.

Akizungumza na Papaso la Burudani, Saida Karoli alisema  hivi sasa amerekodi wimbo unaohusu tetemeko la ardhi lililotokea huko Kagera, hivyo anaamini kupitia Salome ya Diamond, wimbo huo utamrudisha kwenye ramani.

“Waimbaji wapo wengi tena wenye thamani kuliko mimi, ndani na nje ya Tanzania ila kwa kuwa kaniona mimi nashukuru. Wimbo wake umekaa vizuri na ninatumaini utakuwa mkubwa zaidi ya ule nilioimba mimi, nimshukuru yeye na uongozi wake pamoja na Felician, bosi wangu wa kwanza kwa kufanikisha hili,” alisema Saida Karoli.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -