Monday, August 10, 2020

Salem Morisho aachia video ya ‘Ni Kwa Nehema’

Must Read

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi...

TEXAS, MAREKANI

MWIMBAJI wa Injili anayefanya shughuli zake Houston, Texas nchini Marekani, Salem Morisho, amewaomba wapenzi wa muziki huo waipokee video ya wimbo wake mpya, Ni Kwa Neema (Ni Kwa Neema).

Akizungumza na Papaso la Burudani jana, Morisho alisema wimbo huo ni mwendelezo wa kutoa nyimbo zenye mguso wa aina yake hivyo mashabiki waendelee kubarikiwa.

“Ndani ya wimbo huu nimeimba yale ambayo Mungu amewatendea watu mbalimbali kwa sababu yeye ni mwingi wa neema, naamini kila atakayesikiliza na kutazama video hii atafurahia, video tayari nimeiweka YouTube,” alisema Morisho, mwimbaji mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -