Sunday, November 29, 2020

SAMATTA AJA KWA KAZI MOJA TU

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAITUNI KIBWANA

NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbwana Samatta, amesema amekuja nchini kwa kazi moja tu.

Samatta ambaye anakipiga katika klabu ya Genk ya Ubelgiji, ameungana na wachezaji wenzake kujiandaa na mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Burundi na Botswana.

Taifa Stars itaanza kucheza na Burundi keshokutwa na baadaye Botswana Machi 28, mwaka huu, kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza baada ya kuwasili nchini juzi, Samatta alisema lengo lake ni kutaka kuona wanaibuka na ushindi katika michezo hiyo miwili.

Samatta alisema wanahitaji kushinda michezo hiyo ili Tanzania iweze kupanda katika viwango vya kimataifa vinavyotolewa na Fifa.

“Mechi zote sisi tunaangalia ushindi, tunacheza nyumbani, najua kocha Salum Mayanga anakitambua vema kikosi cha Taifa Stars,” alisema.

Taifa Stars inaendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa Taifa kujiandaa na mechi hizo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -