Tuesday, December 1, 2020

SAMATTA ANAVYOWATESA ULAYA MUNGU ANAMUONA

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA EZEKIEL TENDWA

KAMA kuna mtu alidhani Mtanzania Mbwana Samatta alikwenda kukipiga nchini Ubelgiji kwa bahati mbaya atakuwa anakosea, kwani moto anaouwasha huko Ulaya ni mkali.

Nyota ya Mtanzania huyo inaonekana hakuna wa kuizima baada ya juzi usiku kuifungia Genk mabao mawili katika ushindi wa mabao 5-2 ugenini dhidi ya ndugu zao, Gent.

Katika mchezo huo wa hatua ya 16 bora uliochezwa Uwanja wa Ghelamco- Arena mjini Gent, Samatta alifunga bao la kwanza dakika ya 41 ya kipindi cha kwanza, huku jingine akifunga dakika ya 72.

Mabao mengine ya Genk yalifungwa na Ruslan Malinovskiy dakika ya 21, Omar Colley dakika ya 33 na Jere Uronen dakika ya 45, huku ya wenyeji wao yakifungwa na Samuel Kalu dakika ya 27 na Kalifa Coulibaly dakika ya 61.

Matokeo hayo ni kama yameirahisishia Genk kazi, kwani watatakiwa kuhakikisha wanautumia vizuri uwanja wao wa nyumbani mchezo wa marudiano, ambapo wakifuzu watatinga nane bora.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -