Saturday, November 28, 2020

SAMATTA ATUA ANGA ZA MAN UNITED

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA MWANDISHI WETU

MWANASOKA wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, hatimaye ametinga anga za Manchester United ya England, baada ya timu yake ya Genk ya Ubelgiji kufanikiwa kutinga hatua ya mtoano ya Ligi ya Europa na hivyo kuwa na uwezekano wa kukutana na wababe hao wanaonolewa na kocha Mreno, Jose Mourinho.

Man United ilifanikiwa kutinga hatua hiyo baada ya kuichapa Zorya Luhansk ya Ukraine mabao 2-0 na hivyo kujihakikishia nafasi katika hatua hiyo inayofuata.

Kwa upande wao pamoja na mechi yao dhidi ya Sassuolo kuahirishwa kutokana na uwanja kufunikwa wingu nene, Genk wameshafuzu mtoano na kwamba mchezo baina ya wapinzani wao hao uliopangwa kuchezwa jana mchana, utakuwa ni wa kutafuta ushindi wa kuwawezesha kushikilia usukani wa Kundi F na kuwapiku Athletic Bilbao.

Droo ya hatua ya mtoano inatarajiwa kupangwa Jumatatu na iwapo Gent itapangiwa Man United, hiyo itakuwa ni fursa ya kipekee kwa Samatta kuonyesha uwezo wake wote ili kuzishawishi timu za Ligi Kuu England kumng’oa Ubelgiji.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -