Friday, December 4, 2020

SAMATTA ATUA ARDHI YA UJERUMANI

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA MWANDISHI WETU


KIKOSI cha Genk FC cha nchini Ubelgiji anachochezea Mtanzania Mbwana Samatta, kipo nchini Ujerumani na kesho kinatarajiwa kucheza mchezo wa kujipima nguvu na Darmstadt 98 inayoshiriki ligi kuu nchini humo maarufu kama Bundesliga.

Hiyo ni fursa nyingine kwa Mtanzania huyo kuonyesha uwezo wake katika nchi hiyo ambayo inasifika duniani, ambapo huenda wenyewe wao wakavutiwa naye na kuamua kumvuta huko.

Katika ligi ya nchini humo, wapinzani hao wa Genk wanaburuza mkia wakiwa na pointi nane katika michezo 16 waliyocheza wakishinda miwili na kutoka sare miwili huku wakifungwa michezo 12.

Kwa upande wao, Genk katika ligi yao ya nchini Ubelgiji wanashika nafasi ya tisa wakiwa na pointi 28 katika michezo 20 waliyokwishakucheza mpaka sasa ambapo wanataka kuhakikisha wanashinda yote iliyobakia.

Kwa sasa ligi kuu nchini Ujerumani imesimama kwa muda mpaka Januari 20 itakapoanza tena ambapo Darmstadt 98 watacheza dhidi ya Borussia M’gladbach Januari 21, huku kwa upande wao Genk wakijiandaa na mchezo wao wa Kombe la Ligi dhidi ya KV Oostend Januari 17 mwaka huu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -