Monday, November 23, 2020

SAMATTA KUJIPIGIA DEBE LA LIGA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA EZEKIEL TENDWA,

MTANZANIA Mbwana Samatta, Alhamis ataionja tena ardhi ya Hispania iliyosheheni mastaa wa kiwango cha dunia akiwemo Christiano Ronaldo wa Real Madrid na Lionel Messi wa Barcelona atakapokwenda na kikosi chake cha Genk, kwa ajili ya mchezo wa Europa dhidi ya Celta de Vigo.

Mchezo huo ambao ni wa kwanza wa robo fainali, unatarajiwa kuwa mkali kwa pande zote kila timu ikitaka kupata matokeo mazuri na kufanikiwa kuingia moja kwa moja hatua ya nusu fainali.

Kama Genk itafanikiwa kushinda mchezo huo, itakuwa imejiweka kwenye mazingira mazuri ya kusonga mbele ikizingatiwa kuwa mchezo wa marudiano watakuwa  nyumbani.

Genk imefika hatua hiyo baada ya kuwafunga ndugu zao, Gent kwa ushindi wa jumla wa mabao 6-3, huku Mtanzania huyo akichangia kwa kiasi kikubwa kuifikisha hatua hiyo kutokana na uwezo wake wa kupachika mabao.

Kama Genk watafanikiwa kuwazidi ujanja wapinzani wao hao na kutinga hatua ya nusu fainali, wanaweza wakakutana na Manchester United kama nao watakuwa wamewatoa Anderlecht ya nchini Ubelgiji anakokipiga Samatta.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -