Friday, December 4, 2020

Sanchez amtumia ujumbe Wenger

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

LONDON, England

NYOTA wa Arsenal, Alexis Sanchez, amemtumia ujumbe kocha wake, Arsene Wenger, baada ya kuichezea Chile mechi ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2018 na kupachika mabao mawili katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Uruguay, akisema ‘yuko poa’.

Lakini Wenger amesema kesho atafanya maamuzi juu ya kumchezesha nyota huyo kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Manchester United utakaopigwa kesho.

Sanchez alicheza mchezo huo pamoja na kuwa na majeraha na kuibua hofu kwamba anaweza kuukosa mchezo dhidi ya Manchester United utakaochezwa Old Trafford.

Lakini, akizungumza kwenye mkutano wa waandishi wa habari jana, alisema ametumiwa ujumbe na mchezaji wake huyo, huku akiongeza kwamba beki wa kulia wa kikosi hicho cha Gunners, Hector Bellerin, atakuwa nje kwa mwezi mmoja.

“Hector aliumia dakika 10 za mwisho katika mchezo dhidi ya Spurs, baada ya kuchezewa vibaya na Danny Rose. Naye Santi Cazorla bado atakuwa nje. Ila sijui hasa ni muda gani atarejea.”

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -