Wednesday, October 28, 2020

Sanchez kuivaa Man United pamoja na majeruhi

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

SANTIAGO, Chile

MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Alexis Sanchez, alipata majeraha ya nyama za paja wakati wa mazoezi ya timu yake ya Taifa ya Chile, lakini huenda akacheza mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia dhidi ya  Uruguay, Jumanne ijayo pamoja na majeruhi.

Nyota huyo wa Gunners hakusafiri na kikosi hicho cha Chile kwenda Colombia kwa ajili ya mchezo utakaochezwa leo mjini Barranquilla.

Sanchez alijiumiza mwenyewe wakati akifanya mazoezi na alipelekwa haraka hospitali mjini Santiago, akiambatana na daktari wa timu ya taifa ya Chile, Pedro Onate.

Lakini baada ya kuchukuliwa vipimo jana wataalamu walishauri apumzishwe, ingawa anaweza kuwa tayari kucheza dhidi ya Uruguay na ule mtanange wa Ligi Kuu England dhidi ya Manchester United, Jumamosi ijayo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -