Monday, October 26, 2020

SARRI AMPAGAWISHA NYOTA WA CHELSEA

Must Read

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa...

LONDON, England


 

BEKI wa kati wa Chelsea, Antonio Rudiger, ameonekana kuvutiwa zaidi na mbinu za kocha wake mpya, Maurizio Sarri, kuliko Antonio Conte. Unataka kujua ni kwa sababu gani? Mwenyewe anaeleza.

Rudiger alisema mbinu za Sarri ziko poa kwani zimeifanya Chelsea icheze soka la kutengeneza nafasi nyingi tofauti na enzi za Conte ambaye alipendelea soka la kupaki basi na kufanya mashambulizi ya kushtukiza.

Aidha, beki huyo ameonesha mshangao kwa jinsi timu ilivyokuwa na kiwango cha juu licha ya kwamba wachezaji wengine hawakupata muda mrefu wa kupumzika baada ya Kombe la Dunia.

“Namjua Sarri tangu nilipokuwa nacheza AS Roma. Nilivutiwa na mbinu zake na nimefurahi amekuja hapa na tunacheza soka bora tofauti na msimu uliopita,” alisema.

“Sasa tunatengeneza nafasi nyingi za kufunga mabao, kitu ambacho ni kizuri kwangu na tutaendelea kujiimarisha zaidi. Ingawa nashangazwa na hiki kiwango kikubwa tulichonacho.

“Ukiangalia watu kama Eden Hazard na N’Golo Kante hawakufanya mazoezi ya kutosha pamoja nasi, ila wapo fiti. Inapendeza,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake za Pluto Republic, prodyuza nyota...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa Bongo Fleva kuendelea kulipa sapoti...

JB Maeba atimiza ndoto zake na Cannibal

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa Afro Pop na Bongo Fleva anayeishi Kenya, James Tesha a.k.a JB Maeba, amesema anafurahi...

‘Certified Lover Boy’ ya Drake yaiva

TORONTO, CANADA RAPA nyota ulimwenguni, Aubrey Graham maarufu kama Drake, ametangaza habari njema ya ujio wa albamu yake ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -