Friday, November 27, 2020

SELENA GOMEZ ALIWEKA SOKONI KASRI LAKE

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

TEXAS, Marekani

KAMA kuna mtu anapenda kubadilika kila muda kwenye maisha yake, hawezi kumzidi kimwana na mwimbaji, Selena Gomez.

Staa huyo ambaye alitamba mwaka jana na wimbo wake wa ‘Heart Wants What it Wants’, hivi karibuni aliachia wimbo mwingine wa ‘It Ain’t Me’ na kama hiyo haitoshi, akawashtua mashabiki wake na fununu za kutoka kimapenzi na msanii mwenzake, The Weeknd.

Lakini mapema wikiendi iliyopita, jumba lake la kifahari nalo anataka kuliuza kwa kiasi cha euro milioni 2.3 (sawa na dola milioni 2.9).

Gomez amedumu na jumba hilo ‘Fort Worth’ kwa muda wa mwaka mmoja tu, lakini kwa sasa ‘analipiga bei’.

Ni ngumu kuamini mtu anawezaje kuliacha jumba kama hilo lenye hadhi kubwa, lakini wasanii wakubwa wanaonesha jeuri hiyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -