Sunday, October 25, 2020

SERENGETI BOYS USO KWA USO NA RWANDA

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA MWANDISHI WETU

TIMU ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, ‘Serengeti Boys’, leo inatarajiwa kucheza na Rwanda, katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza fainali za Afrika kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa Afcon U17 Qualifiers).

Mchezo huo utakuwa wa tatu kwa Serengeti Boys kucheza katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, toka michuano hiyo ianze.

Katika mchezo wake kwanza, Serengeti Boys waliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Burundi.

Timu hiyo ilipata ushindi mwingine wa mabao 5-0 dhidi ya Sudan, na kutinga hatua ya nusu fainali ambayo itacheza na Rwanda.

Fainali za AFCON U17 zinatarajiwa kufanyika nchini mwakani, ambapo timu itakayoibuka mabingwa katika michuano ya Cecafa itaungana na Serengeti Boys ambayo imefuzu moja kwa moja.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -