Tuesday, November 24, 2020

SERENGETI BOYS WAKABIDHIWA KADI ZA NHIF

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAINAB IDDY

TIMU ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’, wamekabidhiwa kadi ya matibabu na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Bima ya Afya (NHIF).

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa  NHIF, Angel Mziray, alisema lengo kubwa la kuwapa huduma ya bima ya afya vijana hao ni ili waweze kutibiwa kokote Tanzania.

Angel alisema wameguswa na Serengeti Boys jinsi wanavyojituma na kuna kitu wanahitaji katika taifa lao hususani soka.

“Tumeamua kuwaunga mkono kwa kuhakikisha vijana wote 23 wanaobeba bendera ya taifa wanaweza kutibiwa katika hospitali yoyote Tanzania kupitia kadi tulizowakabidhi,” alisema Angel.

Kwa upande wa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Selestine Mwesigwa, aliwashukuru NHIF kwa kuwaunga mkono katika jambo hilo.

Serengeti Boys imefuzu kushiriki fainali za Afrika kwa vijana zitakazofanyika kuanzia Mei 21 mwaka huu, nchini Gabon.

Timu hiyo imepangwa Kundi B pamoja na Angola, Mali na Nigeria.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -