Friday, October 30, 2020

SERENGETI BOYS YAIONDOA AZAM CHAMAZI

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

    NA WINFRIDA MTOI        |        


 

WAKATI Azam wakitarajiwa kucheza na Mbeya City katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, wachezaji wa timu hiyo wamejichimbia katikati ya Jiji la Dar es Salaam.

Azam wameweka kambi katika Hoteli ya Sapphire, iliyopo Kariakoo, kutokana na hosteli zao za Chamazi kutumiwa na timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 17, Serengeti Boys.

Azam, ambao leo wanashuka dimbani kucheza na Mbeya City tangu wamerejea kutoka Uganda wiki iliyopita, wameingia kambini jana katika hoteli hiyo.

Akizungumza na BINGWA jana, Meneja wa Azam FC, Phillip Allando, alisema watakaa Kariakoo hadi Agosti 27, mwaka huu, ambapo michuano ya Cecafa kwa vijana itakuwa imemalizika.

“Tangu tumerudi Uganda wachezaji walikuwa wanafanya mazoezi na kurudi nyumbani kwao, jana (juzi) ndio tumeanza kambi rasmi hapa Sapphire, Chamazi tusingeweza kukaa pamoja na Serengeti Boys,” alisema Allando.

Allando alisema hawakuwa na presha ya kukaa kambini mapema, kwa sababu mwalimu alishamaliza program zake tangu walipokuwa Uganda, kilichobaki sasa ni mazoezi ya kawaida.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -