Monday, November 23, 2020

Sergio Perez atema udhamini kutokana na ushindi wa Trump

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

MEXICO CITY, Mexico

DEREVA wa mbio za magari aina ya langalanga maarufu kama Formula 1, Sergio Perez, ameamua kutema udhamini kutokana na ushindi ambao haukutarajiwa wa Donald Trump kuchaguliwa kuwa Rais wa Marekani.

Ulimwengu ulipigwa na butwaa baada ya kutangazwa kwamba Trump amemshinda aliyekuwa akipewa nafasi hiyo Hillary Clinton  katika mbio za kuingia White House na mara baada ya kutangazwa matokeo hayo, kampuni ya kutengeneza miwani ya jua ya Hawkers ikatuma ujumbe kwa lugha ya Hispania kupitia katika mtandao wake wa  Twitter.

“Raia wa Mexico wamevaa miwani hii wakashindwa kuona macho yako  yaliyovimba wakati ukuta utakapokuwa ukijengwa mapema asubuhi,”  ulieleza ujumbe kutoka kampuni hiyo ya  Hawkers Mexico.

Wakati wa kampeni zake, Trump aliahidi kujenga ukuta katika mpaka baina ya nchi hizo mbili ambapo itawalazimu raia wa Mexico kuwa wanaulipia.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -