Tuesday, October 27, 2020

SERGIO RAMOS APUNGUZA MKATABA WAKE BERNABEU

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MADRID, Hispania


 

NAHODHA na beki wa Real Madrid, Sergio Ramos, amezua tetesi za kuikacha timu hiyo mara mkataba wake utakapofikia tamati mwaka 2020 kutokana na mazungumzo kati yake na mchezaji mwenzake, Lucas Vazquez.

Ramos ameitumikia Madrid kwa muda wa miaka 13 na kutwaa mataji lukuki na miamba hao wa Ulaya.

Beki huyo alizua utata huo katika picha iliyowekwa na Vazquez kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, ikimuonyesha winga huyo akiwa amevaa kitambaa cha unahodha kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Juventus uliochezwa wikiendi iliyopita.

Vazquez aliposti picha hiyo na Ramos alikomenti maneno ambayo yaliwapa wakati mgumu mashabiki wa Madrid.

“Imebaki miaka minne nikuachie hicho kitambaa,” aliandika Ramos.

Hata hivyo, Ramos amebakiza miaka miwili tu amalize mkataba wake, tofauti na alivyosema kwenye picha hiyo kuwa imebaki miaka minne.

Ifikapo mwaka 2020, Mhispania huyo atakuwa amefikisha umri wa miaka 36, hivyo kuna dalili pia anaweza kustaafu mwaka huo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -