Wednesday, October 28, 2020

SHAQIR: LIVERPOOL MABINGWA MSIMU HUU

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MERSEYSIDE, England              |                  


 

WINGA mpya wa Liverpool, Xherdan Shaqiri, anaamini klabu yake ina nafasi kubwa ya kutwaa taji la Ligi Kuu England msimu huu.

Liverpool imefanya usajili wa wachezaji wengi wenye uwezo mkubwa ambao wataingia kikosini kuongeza nguvu kwa wale waliokuwepo.

Timu hiyo ilimaliza nafasi ya tatu msimu uliopita nyuma ya Manchester City na Manchester United, huku wakifungwa mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mabao 3-1 na Real Madrid.

“Tuna timu nzuri iliyo na wachezaji wa viwango vya juu, uhakika wa kushinda taji la Ligi Kuu ni mkubwa zaidi,” alisema Shaqiri.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -