Wednesday, September 30, 2020

SHIBOUB ASUBIRI SAA KUSAINI AZAM

Must Read

KISA KONA YA CARLINHOS… ...

NA ZAINAB IDDY BAO la Yanga lililofungwa na Lamine Moro juzi katika mchezo dhidi...

HUYU MUGALU ATAWALAZA WATU NA VIATU TU!

NA ONESMO KAPINGA HAKIKA sijapata utamu wa mshambuliaji mpya wa Simba, raia wa DR...

Wachezaji Gwambina wapewa muda

NA ZAINAB IDDY KOCHA wa timu wa  Gwambina, Fulgence Novatus, amesema amewapa muda wachezaji wake ...

NA ASHA KIGUNDULA

UONGOZI wa klabu ya Azam upo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo wa Simba, Msudan Sharaf Shiboub, kwa  msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano mingine.

Shiboub anatarajiwa kutua Azam akiwa mchezaji huru, baada ya kuichezea Simba kwa msimu mmoja wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomalizika hivi karibuni.

Habari zilizopatikana jana zilisema kuwa, uongozi wa klabu ya Azam wanatarajia kusajili Shiboub kwa mkataba wa miaka miwili.

Mmoja wa viongozi wa klabu hiyo, alisema mazungumzo ya awali na kiungo huyo yamekamilika na amekubali ofa aliyepewa.

“Kila kitu kinakwenda sawa muda wowote anasajili Azam FC nina imini atapata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza kutokana na uwezo wake,” alisema.

BINGWA lilimtafuta Ofisa Habari wa Azam, Thabit Zakaria, ili kujua ukweli wa jambo, alisema hajapewa taarifa na mabosi wake kuhusu usajili wa Shiboub. 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

KISA KONA YA CARLINHOS… ...

NA ZAINAB IDDY BAO la Yanga lililofungwa na Lamine Moro juzi katika mchezo dhidi...

HUYU MUGALU ATAWALAZA WATU NA VIATU TU!

NA ONESMO KAPINGA HAKIKA sijapata utamu wa mshambuliaji mpya wa Simba, raia wa DR Congo, Chris Mugalu,kutokana na jinsi...

Wachezaji Gwambina wapewa muda

NA ZAINAB IDDY KOCHA wa timu wa  Gwambina, Fulgence Novatus, amesema amewapa muda wachezaji wake  ili aweze kutathimini kiwango cha...

Kisu amfunika vibaya Manula

NA ZAINAB IDDY KIPA  wa timu ya Azam, David Kisu, amemfunika Aishi Manula  wa Simba kutokana na kutoruhusu...

Zahera awapa Simba taji mapema

NA ZAINAB IDDY BAADA ya Gwambina kufungwa mabao 3-0 na Simba  katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -