Wednesday, October 28, 2020

SHIME AWATOA HOFU MASHABIKI

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA ESTHER GEORGE

KOCHA Mkuu wa JKT Ruvu, Bakari Shime, amewaambia mashabiki wao wasiwe na wasiwasi wowote kwani kikosi chao kipo imara na kwamba itakuwa ngumu kwao kushuka daraja.

Shime ambaye amerithi mikoba ya Malale Hamsini, amelazimika kusema maneno hayo baada ya baadhi ya mashabiki kuiona timu yao ikishika nafasi ya pili kutoka mwisho msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Akizungumza na BINGWA jana, Shime alisema ligi bado ni mbichi na kwamba watapambana hadi tone la mwisho kuhakikisha wanaweka mambo sawa na kuinusuru timu yao isishuke.

“Ni kweli kwamba hatupo kwenye nafasi nzuri sana lakini bado tunapambana, niwaambie tu mashabiki wetu wasiwe na wasiwasi wowote kwani tutahakikisha timu haishuki daraja hata kidogo,” alisema.

Alisema moja ya malengo yake ni kuhakikisha timu inashinda michezo yote iliyobakia na hilo linawezekana kutokana na mbinu za kisasa anazowapa wachezaji wake huku akiwataka mashabiki kuzidi kuwapa sapoti.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -