Friday, November 27, 2020

SHOOTING YAKABIDHIWA MAMILIONI YA ‘MAUAJI’ VPL

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA WINFRIDA MTOI,

KLABU ya Ruvu Shooting imepata udhamini wa Sh milioni 25 kutoka  Kampuni ya Hawii Products Supplies kwa ajili ya ushiriki wake katika duru la pili la Ligi Kuu Tanzania Bara.

Akizungumza wakati wa kusaini  mkataba huo, Mwenyekiti wa Ruvu Shooting, Luteni Kanali, Charles Mbuge, alifafanua kuwa kwenye udhamini huo, Sh milioni 15 zitatumika kwa matumizi ya kawaida huku Sh milioni 10 zikiwa ni gharama za vifaa itakavyopewa klabu hiyo.

Mbuge alisema mbali ya kuifanya timu yake iwe imara zaidi msimu huu, pia udhamini huo utawawezesha kuinua vipaji vya wachezaji chipukizi.

“Tumefurahia kupata udhamini huu licha ya kwamba wapo watakaoubeza, lakini kwetu ni muhimu na utasaidia wachezaji kucheza kwa kujiamini,” alisema Mbuge.

Meneja Masoko wa Hawaii, alisema lengo lao ni kuziinua klabu ambazo hapo kabla zilionekana kama zimesahaulika.

“Ifike wakati kampuni zitupie macho na  hizi timu nyingine badala ya  kuangalia zile zenye majina pekee, hii ni njia nyingine itakayosaidia kuongeza ushindani,” alisema Ndeta.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -