Wednesday, November 25, 2020

SIMBA: BANDA BADO HAKIJAELEWEKA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAINAB IDDY,

SIMBA ni kama wamempotezea kiaina beki wao Abdi Banda baada ya kuamua kukaa kimya kuhusiana na mustakabali wa mchezaji huyo katika klabu hiyo.

Mkataba wa beki huyo tegemeo kwa sasa ndani ya kikosi cha Simba unatarajiwa kuisha baada ya msimu huu kumalizika.

Tayari beki huyo wa zamani wa Coastal Union ameutaka uongozi wa Simba kumboreshea maslahi yake kama inataka aendelee kuichezea klabu hiyo ya Msimbazi.

Akizungumza na BINGWA, Meneja wa Banda, Abdul Bosnia, alisema mpaka sasa hajui hatima ya mchezaji wake ndani ya Simba baada ya waajiri wake hao kupiga kimya.

“Tangu tulipozungumza juu ya kufanya marekebisho ya baadhi ya vipengele vya mkataba, Simba hawajazungumza chochote, sijui wana maana gani lakini kwa kuwa muda bado upo tutajua baadaye.

Kama watakubaliana na tuliyoyataka Banda atasaini mkataba wao lakini kinyume na hapo, tutaangalia maisha mengine nje ya Simba,” alisema Bosnia.

“Zipo taarifa zinazosema Banda amepata ofa, ni kweli zipo ikiwamo ya Afrika Kusini ambayo tunaiangalia zaidi kwa kuwa yupo mtu anayeisimamia huko hivyo muda ukifika kila kitu kitafahamika,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -