Saturday, November 28, 2020

SIMBA KIMYA KIMYA UNGUJA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAITUNI KIBWANA

SIMBA wamepanga kuweka kambi katika Kisiwa cha Unguja kujiandaa na mechi ya marudiano ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga iliyopangwa kuchezwa Februari 25, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Simba wanatarajia kuondoka kimya kimya leo jijini Dar es Salaam, kutokana na viongozi wa klabu hiyo kuweka siri kali juu ya safari yao kwenda Unguja.

Kwa mujibu wa taarifa za ndani zilizolifikia BINGWA wakati tunakwenda mitamboni, ni kwamba kikosi chote cha Simba kinatarajia kuondoka leo jijini Dar es Salaam

Mtoa habari wetu alisema kikosi hicho kitarejea jijini siku moja kabla ya mechi hiyo.

BINGWA lilipomtafuta Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, ili kujua zaidi maandalizi ya safari hiyo, alisema hana taarifa kutoka kwa mabosi wake kuwa kikosi chao kinatarajia kuondoka leo baada ya jana kucheza mechi ya Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya African Lyon.

“Acha tucheze mpira leo (jana), tuna mechi ngumu sana, tutazijadili habari hizo baada ya kutoka hapa, ila bado sijapata taarifa zozote mpaka sasa,” alisema Haji.

Wakati Simba wakitarajia kwenda Unguja, watani wao wamepanga kuweka kambi visiwani Pemba kujiandaa na mechi hiyo.

Katika mechi ya kwanza iliyochezwa Oktoba mosi mwaka jana, watani hao walitoka sare ya kufunga bao 1-1 uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -