Saturday, October 31, 2020

SIMBA QUEENS YASAJILI VIFAA 12

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA GLORY MLAY


TIMU ya Simba Queens imefanikiwa kusajili wachezaji 12 kwa lengo la kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake inayotarajiwa kuanza hivi karibuni.

Miongoni mwa wachezaji walionaswa na timu hiyo ni Mwanahamisi Omari, Amina Ramadhan, Amina Ally, Crista John, Rukia Nasri, Zubeda Mohammed, Catherine Shija na Violet Nicholas.

Akizungumza na BINGWA jana, kocha mkuu wa Simba, Antony Makunja, alisema timu yake ilikuwa ikisumbuliwa zaidi na tatizo la ushambuliaji na anaamini usajili huo utamaliza tatizo hilo.

“Tumekamilisha usajili na tunaamini wachezaji hao wataleta mabadiliko katika kikosi chetu, tunaomba wadau na mashabiki wazidi kutusapoti katika maandalizi yetu ambayo tunaendelea nayo kwa ajili ya msimu mpya wa ligi,” alisema.

Makunja alisema bado wapo kambini wakiendelea na mazoezi pamoja na mechi za kirafiki ili kujiweka sawa kuelekea msimu mpya wa ligi hiyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -