Tuesday, November 24, 2020

SIMBA: TOTO WAULIZENI MBAO

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAITUNI KIBWANA

BAADA ya Simba kufanikiwa kutoka nyuma kwa mabao 2-0 na kuibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Mbao FC juzi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza, wameipiga mkwara Toto Africans ambao watakutana nao mwishoni mwa wiki hii.

Kabla ya vinara hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, kuivaa Toto kwenye uwanja huo wa Kirumba, Meneja wa Wekundu hao wa Msimbazi,

Mussa Hassan ‘Mgosi’, alisema wanafanya maandalizi ya kufa mtu ili kunyakua pointi tatu kama kwa Mbao.

Mgosi alisema wanatambua ugumu wa mechi hiyo hasa ukizingatia kwamba timu hiyo ya Toto imekuwa ikihusishwa kuwa na ushirikiano na mahasimu wao, Yanga.

“Sisi tutacheza na Toto kama watahusika na Yanga shauri zao, ila kama tulichowafanya Mbao FC wao wajipange kupata dozi yao,” alisema.

Alisema wachezaji wote wapo fiti kwa ajili ya mchezo huo ambapo kocha Joseph Omog na msaidizi wake, Jackson Mayanja wameendelea kurekebisha makosa yaliojitokeza kwenye mchezo na Mbao na Kagera Sugar.

“Kikubwa mazoezi yanaendelea vizuri, pia makocha wanarekebisha makosa na kuendelea kuinoa safu ya ushambuliaji ili kuweza kufanya yvema kwenye michezo yetu iliyosalia,” alisema Mgosi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -