Tuesday, December 1, 2020

SIMBA USIWAAMBIE KITU

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA MWANDISHI WETU, ARUSHA

SIMBA usiwaambie kitu. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya kuifunga Madini bao 1-0, katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho, uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

Mchezo huo uliochezeshwa na mwamuzi Ahmad Kikumbo wa Dodoma, Simba walipata bao lao kupitia mshambuliaji wao, Laudity Mavugo.

Mavugo alifunga bao hilo dakika ya 55 kwa kichwa, baada ya kutumia vizuri mpira wa juu uliomshinda beki wa Madini, Hamisi Hamisi.

Kwa matokeo hayo, Simba imeungana na Mbao FC  kutinga nusu fainali baada ya juzi kuifunga Kagera Sugar mabao 2-1, kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

Simba ilionekana kupata ugumu dakika 45 za kwanza kutokana na Madini kucheza mfumo wa kujilinda zaidi na kufanya mashambulizi ya kushtukiza.

Madini ilifanikiwa kuingia hatua hiyo baada ya kuitoa JKT Ruvu kwa changamoto ya mikwaju ya penalti 4-2 kufuatia sare ya kufungana bao 1-1 ndani ya dakika 90.

Simba: Daniel Agyei, Janvier Bokungu, Mohammed Hussein, Abdi Banda, Jjuuko Murshid, James Kotei, Shiza Kichuya, Muzamil Yassin/Jonas Mkude (dk.58), Laudit Mavugo, Ibrahim  Hajib/Pastory Athanas (dk.70) na Mohammed ‘Mo’ Ibrahim/Said Ndemla (dk.46).

Madini: Ramadhani Chalamanda, Lazaro Constantine, Makiwa Feruzi, Hamisi Hamisi, Priscus Julius, Edward Eliau, Gibson Joseph, Shaaban Imamu, Athumani Dennis, Awesu Awesu/Rajab Mwaluko (dk.72) na Mohammed Athumani/Mohammed Athumani (dk.56).

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -