Friday, December 4, 2020

SIMBA WAIPIGIA HESABU KALI MBEYA CITY

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA ZAINAB IDDY,

MENEJA wa Simba, Mussa Hassan ‘Mgosi’, amesema hawataki masihara kwani wanahitaji kushinda dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA jana, Mgosi alisema mchezo huo ni muhimu kwao kushinda ili waweze kujiweka katika mazingira bora zaidi ya kuchukua ubingwa msimu huu.

Mgosi alisema wamegawa majukumu kwa kila mchezaji kuhakikisha wanapata pointi 21 kwa michezo saba iliyosalia.

Alisema pamoja na kwamba wanaongoza katika msimamo wa ligi hiyo kwa pointi 54, lakini bado wana kazi ya ziada ya kuhakikisha wanaendelea kushinda ili kujihakikishia ubingwa.

Mgosi alisema hawataki kuona wanapoteza kuanzia mchezo wao dhidi Mbeya City, kwani watakuwa wameharibu mipango yao.

Alisema kwa sasa benchi la ufundi limekuwa likifanya kazi kwa ukaribu mno na uongozi kuweza kupata matokeo mazuri.

“Hatutaki masihara kabisa, ubingwa msimu huu lazima iwe jua au mvua, hata kwa mtutu wa bunduki kwani ipo mipango mingi tuliyoweka kuhakikisha tunafanikiwa katika hilo,” alisema Mgosi.

Katika mchezo wa kwanza uliochezwa  Oktoba 12, mwaka jana kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, Simba walishinda mabao 2-0 dhidi ya timu hiyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -