Friday, October 23, 2020

SIMBA WASAKA VIJANA 30 WAPYA

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA ZAINAB IDD


TIMU ya Simba ipo katika mchakato wa kusaka vijana 30 wapya watakaoweza kuunda kikosi cha vijana chini ya miaka 20, kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya ligi ya vijana Tanzania Bara mwaka huu.

Simba imeamua kuanza mchakato huo mapema baada ya wanandinga wake waliotwaa kombe la vijana mwaka jana kuvuka umri huu.

Kocha mkuu wa Simba ‘B’, Nico Kihondo, ameliambia BINGWA baada ya kuona vijana wao wengi wa timu ya vijana mwaka huu wanafika umri wa miaka 20, wameamua kuanza mapema mchakato wa kutafuta mbadala wao.

“Mwaka huu mashindano ya ligi ya vijana chini ya miaka 20 yatakuwepo na sisi kama mabingwa watetezi wachezaji wetu wengi mwaka huu wanafikisha miaka 20 na kukosa vigezo vya kushiriki hivyo tumeamua kuanza kuwasaka watakaokuwa mbadala wao.

“Mipango yetu ni kupata wachezaji 30   ambao tutawatengeneza kiushindani ili waweze kutetea taji la ligi ya vijana mwaka huu, hadi sasa tumefanikiwa kupata vijana 50 kati ya zaidi ya 80 waliojitokeza kwenye mchakato huu,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -