Monday, November 23, 2020

SIMBA YAIPIGIA GOTI AZAM

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA SAADA SALIM,

SIMBA wanafahamu kuwa wachawi wao katika harakati za kutwaa ubingwa msimu huu ni wapinzani wao wa jadi, Yanga kutokana na kuzidiana pointi chache, hivyo Wekundu wa Msimbazi hao kuamua kupiga magoti mchana na usiku ili Azam FC wafanye kweli dhidi ya Wanajangwani hao timu hizo zitakapokutana.

Katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba wapo kileleni wakiwa na pointi 55 wakifuatiwa na Yanga wenye pointi 53, hiyo ikimaanisha kuwa wakongwe hao wamepishana kwa pointi mbili tu.

Na sasa Wekundu wa Msimbazi wameungana na Azam kuhakikisha wapinzani wao hao wa jadi wanakufa kifo kibaya watakapokutana na Wanalambalamba hao.

Simba ambayo ipo katika wakati mgumu, inatakiwa ifanye vizuri katika michezo yao mitatu ya Kanda ya Ziwa kwa kuzifunga Toto Africans, Mbao FC pamoja na Kagera Sugar kwa kujikusanyia pointi tisa ili kuipoka Yanga ubingwa ambao kwa sasa ni watetezi wa taji hilo.

Licha ya kupambana kuhitaji pointi hizo, lakini pia inahitaji nguvu za ziada kutoka kwa Azam kuhakikisha anamzuia mpinzani wake anayewania nafasi hiyo kutokana na kumpita pointi mbili.

Azam ambayo inahitaji kufanya vizuri katika michezo yake sita ili kujihakikishia nafasi ya tatu katika msimamo huo, italazimika kuifunga Yanga ili kujiongezea pointi za kumpeleka katika nafasi hiyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -