Monday, November 30, 2020

SIMBA: YANGA HANGAIKENI MKIRUDI UBINGWA WETU

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAINAB IDDY

MAKAMU wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’, amesema  wanawaunga mkono wapinzani wao Yanga katika harakati zao za kimataifa lakini amewataka wasijisumbue kuhusu ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwakuwa hata iweje lazima wabebe.

Yanga ililazimishwa sare ya bao 1-1 na Zanaco ya Zambia katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Matokeo hayo kwa kiasi fulani yameiweka njiapanda Yanga kwani sasa italazimika kusaka ushindi katika mchezo wa marudiano utakaochezwa wikiendi hii jijini Lusaka ili iweze kusonga mbele hatua inayofuata.

Akizungumza na BINGWA, Kaburu amesema wanawaombea kila la heri Yanga katika mashindano ya kimataifa kwakuwa wanaiwakilisha Tanzania hivyo wataendelea kuwasapoti kwa kila namna.

“Si Yanga tu hata Azam mechi za kimataifa wanazocheza si kwa ajili ya timu zao ila wanaiwakilisha Tanzania hivyo hatuna budi kuungana nao na kuwatakia heri kwenye michezo yao.

“Lakini licha ya kuwatakia heri, wanapaswa kufahamu kwa ligi ya nyumbani hawana chao wakirudi jambo wanalotakiwa kulijua ubingwa lazima uende Msimbazi,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -