Friday, December 4, 2020

SIMBA, YANGA ZAGAWANA VITENGO MUHIMU VPL

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA EZEKIEL TENDWA,

WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara ikiendelea kushika kasi, Simba imeonekana kuwa na safu kali zaidi ya ulinzi kutokana na kuruhusu mabao machache, huku safu ya ushambuliaji ya Yanga ikiongoza kwa kupachika mabao mengi kuliko timu nyingine.

Simba ambao walidumu muda mrefu kileleni kabla ya kuenguliwa na Yanga, safu yao ya ulinzi imefungwa mabao saba peke yake katika michezo 20 waliyokwisha kucheza mpaka sasa ikimaanisha kuwa kocha wao, Joseph Omog, amefanya kazi kubwa kusuka ukuta wake huo.

Kwa upande wao Yanga safu yao ya ulinzi imeruhusu mabao tisa, lakini ikiwa na safu kali ya ushambuliaji ambayo imefunga mabao 42, ikifuatiwa na ya wapinzani wao hao wa jadi yenye mabao 30.

Pia Wanajangwani hao ambao ni mabingwa watetezi wa ligi hiyo, wamepoteza michezo miwili tu, huku Simba wao wakipoteza michezo mitatu timu hizo zikipishana kwa pointi moja ambapo Yanga wapo kileleni na pointi 46, wekundu wa Msimbazi wakiwa na pointi 45.

Majimaji ya Songea, ndiyo inayoonekana kuwa na safu mbovu ya ulinzi ambayo mpaka sasa imeruhusu mabao 27, hiyo ikimaanisha kuwa kocha wao mkuu, Kali Ongala, ana kazi kubwa ya kufanya kabla ya kukutana na Simba mchezo ujao.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -