Wednesday, November 25, 2020

SIMEONE ANAVYOMBANIA MWANAWE

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

MADRID, Hispania

Pamoja na msimu wake wa kwanza Serie A kuwa mzuri, akifunga mabao 11 kwenye kikosi chake cha Genoa, lakini kuna kocha mmoja ambaye hata Giovanni Simeone afanye nini hawezi kushawishika na kumsajili, huyo ni baba yake nyota huyo, Diego Simeone.

Kocha huyo Atletico Madrid, Simeone, amekiri wiki hii kwamba hatamsajili mwanawe kwenye timu yake pamoja na kiwango chake kuongezeka kwa kasi kwenye soka la Ulaya.

Giovanni bado anapambana kwenye ligi hiyo ya Serie A, lakini mabao yake 11 tayari yamezifanya klabu kubwa Ulaya kukaa chini na kuanza kumtazama.

Lakini kucheza chini ya baba yake litakuwa jambo gumu sana.

Akizungumzia kuibuka kwa kiwango cha mwanawe kwa ghafla hasa kuhusu kumsajili chipukizi huyo mwenye umri wa miaka 21, Diego alikiri: “Nitakuwa nimejitoa kafara sana na soka si kafara.”

“Giovanni amekuwa na mwaka mzuri Genoa na amefunga mabao 11 nchini Italia na kwa mwaka wake wa kwanza si rahisi.

“Kuanza kufikiri kumwona katika moja ya timu zangu ni kumpa majukumu, jambo ambalo halitakuwa zuri kwake.

“Giovanni ana ubora ambao naupenda sana, juhudi na anavyofanya kazi atakuwa mchezaji mkubwa, ila si kwenye timu yangu.

“Kuna klabu nyingi sana ambazo zinaweza kumpa nafasi kubwa,” aliongeza kocha huyo na mchezaji wa zamani wa Argentina.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -