Thursday, December 3, 2020

SIMIONE ARAHISISHA KAZI, MAN UNITED WASHINDWE WENYEWE KWA GRIEZMANN

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

MADRID, Hispania


WAKATI dirisha dogo la usajili wa Januari likiwa wazi hadi sasa, klabu ya Manchester United bado inaendelea kuhusishwa na dili la kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid, Antoine Griezmann.

Kwa kiasi fulani, United imezidi kuwa na matumaini ya kwamba huenda wakamnasa Mfaransa huyo kutokana na kauli iliyotolewa na kocha wake, Diego Simione, hivi karibuni akisema hataweka kizuizi iwapo straika wake huyo akipata nafasi ya kusajiliwa na timu yoyote.

‘Red Devils’ hao wameripotiwa kuandaa kitita cha kumsajili Griezmann mwenye umri wa miaka 25, ingawa Simeone kwa upande wake ameonesha utulivu juu ya taarifa hizo, akisema kwamba hatatoa kizuizi chochote iwapo Griezmann atapata nafasi ya kuondoka.

“Simzuii yeyote kuondoka. Kwa sasa ninahakikisha naendelea na kazi ya kukiimarisha kikosi changu sambamba na Griezmann ambaye ameanza kurudi kwenye kiwango chake cha kupachika mabao.

“Ni kitu kizuri kuziona timu kubwa duniani zikimhitaji. Sishangai kuiona moja ya timu hizo zinazomtaka, ina uwezo wa kulipa gharama zake za uhamisho pia,” alisema Simione.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -