Tuesday, October 20, 2020

SINGIDA UNITED WATUMA SALAMU KWA MBAO

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

NA SALMA MPELI


KIKOSI cha Singida United kinachojiandaa kuwakabili Mbao FC, Agosti 31, mwaka huu, kimetuma ujumbe kwa wapinzani wao hao wakiwataka kujiangalia, kwani wamejipanga kuhakikisha hawapotezi tena mechi nyingine katika uwanja wao wa nyumbani wa Namfua.

Singida iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwadui FC, kwenye mchezo wa pili wa Ligi Kuu Bara, uliopigwa katika Uwanja wa Namfua, Singida, baada ya kufungwa bao 1-0 na Biashara kwenye uwanja huo huo.

Akizungumza na BINGWA jana, Kocha Msaidizi wa Singida, Jumanne Chale, alisema mwisho wa mchezo wa Jumamosi dhidi ya Mwadui, ndio mwanzo wa maandalizi ya mechi ijayo, wanajiandaa vizuri na wanahitaji ushindi mwingine wakiwa nyumbani.

Chale alisema wanatambua Mbao ni timu ngumu lakini wamejipanga kukabiliana nao kwa namna yoyote, kwani kila mmoja anahitaji ushindi kwenye michezo yake.

“Wachezaji wako katika hali nzuri na hakuna majeruhi, kubwa kwa sasa ni kutafuta ‘match fitness’ kwa michezo hii ya mwanzo huku pia tukihitaji pointi tatu muhimu, baada ya hapo mapambano yanaendelea kama kawaida,” alisema Chale.

Aliongeza kuwa ligi inaonekana kuwa ngumu mapema kwani timu zimejipanga vizuri, hilo linawafanya kuhitaji kutumia mbinu ya ziada katika kukabiliana na wapinzani wao kwenye kila mchezo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -