Monday, November 23, 2020

Siri nzito ya Bossou yafichuka Yanga

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA HUSSEIN OMAR

IMEBAINIKA kuwa beki wa kimataifa wa Togo anayekipiga Yanga, Vincent Bossou, aliwahi kuuomba uongozi wa mabingwa hao wa Tanzania Bara kucheza bure, ikiwa ni baada ya usajili wake ndani ya Wanajangwani hao kukumbwa na mizengwe.

Bossou alifikia hatua hiyo baada ya kubaini kuwapo mipango ya kukata jina lake na kusitisha mkataba katika kipindi hicho kutokana na kushindwa kupata nafasi ya kudumu katika kikosi cha kwanza cha Wanajangwani hao.

Akizungumza na BINGWA jana, mmoja wa vigogo ambaye alihusika kumsajili beki huyo, ambaye hakupenda jina lake litajwe gazetini, alisema: “Huyu jamaa mwacheni afanye kazi jamani, kakutana na vigingi vingi sana, kapigwa vita mno, ilifikia kipindi aliuomba uongozi umpe muda zaidi au ikiwezekana acheze hata bure bila malipo yoyote ili mradi klabu impatie chakula na sehemu ya kulala tu.

“Bossou amekuja kweli kutafuta maisha hapa Tanzania, fikiria mtu anaomba apewe mahali pa kulala na kula tu, mshahara asipewe ili awaonyeshe kazi, inaonyesha jinsi alivyokuwa na uhakika na uwezo wake,” alisema.

Kigogo huyo alisema kutokana na Bossou kupita katika kipindi kigumu, ameonyesha uwezo wake na hivyo kuwafunga mdomo wale wote waliokuwa wakimbeza na kumponda na sasa kuwa kwenye orodha ya mabeki tegemeo waliopo katika kikosi Yanga.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -