Tuesday, November 24, 2020

SMALLING AWACHEFUA MASHABIKI LIVERPOOL

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LONDON, England

MASHABIKI wa Liverpool wamemjia juu beki wa Manchester United, Chris Smalling, baada ya staa huyo kutuma ujumbe katika mitandao ya kijamii akiwakebehi vinara hao wa Merseysiders kutokana na ubingwa wa Kombe la Ligi walioupata juzi kwa kuifunga Southampton.

Mabao mawili yaliyofungwa na straika, Zlatan Ibrahimovic, ndiyo yaliyofanya Man United kuondoka kifua mbele kwenye Uwanja wa  Wembley baada ya kuwalaza mahasimu wao hao katika michuano ya ligi kuu kwa mabao 3-2, likiwamo la dakika za majeruhi lililofungwa na Mswiden huyu na kunusuru mchezo huo usiende katika muda wa nyongeza.

Taji hilo ndilo limewafanya mashetani hao wekundu kuwapiku mahasimu wao hao kutoka Kaskazini Magharibu mwa Jiji la London, baada ya kufikisha  42 dhidi ya 41 waliyonayo Liverpool.

Baada ya kutwaa ubingwa wao ikamfanya Smalling kuchukua mtandao wake wa kijamii wa Twitter na kutumua ujumbe akisema: “Waangaleni Wafalme”.

Inaelezwa licha ya mashabiki wa klabu hiyo ya  Anfield kutokuwa na uhakika na nani alikuwa amelengwa Smalling’, lakini hata hivyo wakajibu kwa kumshambulia beki huyo wa timu ya taifa ya  England katika mfululizo wa ujumbe waliokuwa wakituma kumjibu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -