Wednesday, October 28, 2020

SOCIETY MUSIC BAND KUIGUSA JAMII

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA CHRISTOPHER MSEKENA


 

BENDI ya muziki wa dansi inayofanya vizuri Misenyi, Bukoba Mjini, Society Music Band, imejipanga vyema kuhakikisha nyimbo zitakazopatikana kwenye albamu yao mpya zitakuwa na tungo zenye mguso  kwa jamii.

Akizungumza na Papaso la Burudani hivi karibuni, Dar es Salaam, kiongozi mkuu wa bendi hiyo, Edson Polycapy, alisema albamu hiyo itakuwa katika mfumo wa DVD na itasheheni nyimbo sita zenye utunzi utakaoigusa jamii.

“Hivi karibuni tutaachia wimbo unaoitwa Heshima, lakini pia albamu yetu ijayo italenga zaidi kuitengeneza jamii yenye watu wazuri kama tunavyojua Society Music Band ipo kwa ajili ya watu,” alisema Edson.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -