Friday, November 27, 2020

SONG AKIMBIZWA HOSPITALI, UGONJWA WA KIHARUSI WATISHIA UHAI WAKE

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

YAOUNDE, CAMEROON

STAA wa zamani wa timu ya Taifa ya Cameroon, Rigobert Song, juzi alikimbizwa hospitalini baada ya kukumbwa na ugonjwa wa kiharusi.

Nguli huyo mwenye umri wa miaka 40 ambaye ni mjomba wa staa wa zamani wa Arsenal, Alex Song, alionekana kuzidiwa na ugonjwa huo hatari ndipo alipopelekwa ‘fasta’ kwenye hospitali moja ya jijini Yaounde.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotoka jana, bado hali ya mchezaji huyo wa zamani wa Liverpool imeendelea kuwa mbaya, licha ya kupata huduma ya madaktari.

Kabla ya kuzidiwa na ugonjwa huo na kuwahiwa na jopo la madaktari, Song alikuwa nyumbani kwake Odza na itakumbukwa kuwa alikuwa kocha wa timu ya Taifa ya Chad.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -