Friday, November 27, 2020

STAA NEWCASTLE ALAWITIWA NA KOCHA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LONDON, England

MCHEZAJI wa zamani wa Newcastle United, David Eatock, ameibua kashfa kuwa aliwahi kulawitiwa na aliyekuwa kocha wa timu hiyo, George Ormond.

Eatock alifunguka kuwa alikutana na upuuzi wa kocha huyo wakati alipokuwa na umri wa miaka 18 hadi 21.

Inadaiwa kuwa tayari Eatock mwenye umri wa miaka 40 ameshafikisha malalamiko yake kwenye vyombo vya sheria.

“Alikuwa akija kwenye chumba changu cha nyumba ya wageni,” alisema Eatock.

“Kwa muda mfupi, alitoa sehemu zake za siri na kuanza kujichua. Alikuwa akitoa kwa ajili ya kupata vinywaji. Alinilewesha na kuanza kuzungumza kuhusu ngono na uume wangu,” alisema kocha huyo.

Nyota huyo aliachana na soka akiwa na umri wa miaka 21 na hiyo ilitokana na majeraha ya goti.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -