Sunday, November 29, 2020

STAND UNITED KUIPUNGUZA KASI YANGA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA OSCAR ASSENGA, TANGA
STAND United imepania kupunguza kasi ya Yanga ya kuwania kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kuhakikisha wanawafunga katika mchezo wao utakaochezwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA jana, kocha mkuu wa timu hiyo, Hemed Moroco, alisema kwa sasa wanaendelea kufanyia kazi makosa yaliyojitokeza katika mchezo wao dhidi ya JKT Ruvu.

Moroco alisema katika mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, jijini hapa, timu hizo zilitoka nguvu sawa baada ya kushindwa kufungana.

Alisema anaendelea kukiimarisha kikosi chake ili kiweze kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga, lakini waweze kujiweka katika mazingira bora kwenye msimamo wa ligi hiyo.
“Stand United tunaiheshimu Yanga na tunatambua kwa sasa wanakimbilia kwenye ubingwa kwa kutaka kushinda kila mechi, lakini sisi tutahakikisha tunaibuka na ushindi kwenye mechi hiyo muhimu kwetu kupata matokeo,” alisema Moroco.

Alisema wachezaji wake wana afya nzuri, kwani hawana majeraha na wanaendelea na maandalizi ya mchezo wao ili waweze kupata matokeo mazuri.
Moroco alisema anatarajia kupata upinzani mkubwa lakini wao wamejipanga ili kuweza kuendana na kasi yao kwa lengo la kupata ushindi.
Alisema wataendelea kuweka kambi jijini hapa kufanya mazoezi na wanaondoka kwenda Dar es Salaam siku moja kabla ya mchezo huo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -