Sunday, November 1, 2020

Stand United yafichua siri ya kuzichinjaYanga, Azam

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA GEORGE KAYALA

KOCHA Msaidizi wa Stand United, Athuman Bilal ametaja siri ya timu yake kuibuka na ushindi dhidi ya timu za Yanga na Azam FC kuwa ni kutokana na kuwajenga kisaikolojia wachezaji wake.

Akizungumza na BINGWA jana, Bilal alisema kabla ya mchezo  huo aliwapa somo wachezaji wake kwa kuwataka wasibabaishwe na majina ya wapinzani wao.

Alisema dhamira yao ni kuhakikisha wanatwaa ubingwa  wa Ligi Kuu msimu huu na uwezo wa kufanya hivyo wanao kwakua kikosi chao kina wachezaji wanaocheza kwa uelewano mkubwa.

“Mbali na kuwafundisha mbinu za ushindi na namna ya kulinda bao endapo wakifanikiwa kutangulia kufunga  huwa naawambia wasiangalie ukubwa wa majina ya timu wanazokutana nazo kwani nao ni wachezaji kawa wao, hivyo hakuna haja ya kuwaogopa.

Hakika hii imekuwa silaha kubwa na  ndio maana Azam na Yanga tumewafunga katika uwanja wetu wa nyumbani,” alisema Bilal.

Kocha huyo alisema,wanaupa umuhimu mkubwa kila mchezo ulioko mbele yao na  ndio maana wamefanikiwa kushinda michezo mitano na kutoka sare nne.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -