Wednesday, October 21, 2020

STAND UNITED YAIFUATA SIMBA KWA TAHADHARI

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

NA WINFRIDA MTOI

KIKOSI cha Stand United kinatarajia kuwasili kesho jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Simba huku Kocha Mkuu wa timu hiyo, Niyongabo Amars, akisema wanakuja kwa tahadhari kutokana na kufahamu ubora wa Wanamsimbazi hao.

Stand United wataikabili Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, utakaopigwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA jana, Amars alisema kuelekea mchezo huo, amefanya maandalizi ya tofauti na mechi nyingine zilizopita, kwa sababu  kupata pointi katika mchezo huo kunahitaji kufanya kazi kubwa.

Alisema anakiamini kikosi chake kitatekeleza yale aliyowaelekeza,  ukizingatia walipata muda mrefu wa kufanya maandalizi kutokana na ligi hiyo kusimama.

“Nimefanya maandalizi makubwa, najua Simba ni timu bora lakini hata mimi nina wachezaji bora, ninaamini watafanya vizuri, kuhusu mbinu nitakazotumia ni siri yangu kila mmoja ataziona siku hiyo uwanjani,” alisema.

Amars alieleza kwamba, anachojivunia katika kikosi chake ni wachezaji wote wako vizuri na hakuna majeruhi, hivyo mashabiki wa Stand United wasiwe na wasiwasi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -