Friday, December 4, 2020

Straika Polisi Tanzania: Mtamsahau Nchimbi

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

MSHAMBULIAJI mpya wa Polisi Tanzania, Athanas Mdam, amesema mashabiki wa timu hiyo, watamsahau Ditram Nchimbi.

Mdam amesajiliwa na Polisi Tanzania akitoa Alliance baada ya Nchimbi kujiunga na Yanga katika kipindi hiki cha dirisha dogo lililofunguliwa Desemba 16, hadi Januari 15, mwakani.

Akizungumza na BINGWA jana, Mdam alisema ametua Polisi Tanzania kufanya kazi na mashabiki wa timu hiyo wasiwe na hofu, baada ya Nchimbi kuondoka.

“Nimekuja hapa kufanya kazi tu, lengo langu ni kuwa bora zaidi ya kule nilikotoka, mashabiki, wapenzi na wanachama wa Polisi Tanzania, nawaahidi nitaisaidia timu katika kuipa matokeo ya ushindi.

“Ushirikiano nitakaoupata kutoka kwa wachezaji wenzangu, mabosi na walimu utaniwezesha kufanya kazi kwa ufanisi zaidi na kuwasahaurisha Nchimbi aliyekwenda kutafuta changamoto sehemu nyingine,” alisema.

Polisi Tanzania inayoshiriki kwa mara ya kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, inashika nafasi ya sita kutokana na pointi 19, baada ya kucheza michezo 12, ikishinda sita, sare moja na kupoteza mitano. 

MWISHO

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -