Wednesday, January 20, 2021

Michezo

MTOTO WA LWANDAMINA AWAFUMBUA MACHO YANGA

NA HUSSEIN OMAR JUNIOR Lwandamina ambaye ni mtoto wa Kocha Mkuu wa Yanga Mzambia, George Lwandamina, amewafungukia wachezaji wa timu hiyo kwa kuwataka kuweka pembeni masilahi binafsi na badala yake kujituma uwanjani kama wanataka kufika mbali. Kauli hiyo imekuja siku chache...

TEAM ‘FITNA’ YA SIMBA YATUA MTWARA

NA ZAINAB IDDY VINARA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba wanatarajia kuondoka keo kwenda Mtwara kuikabili Ndanda FC, lakini uongozi wa timu hiyo umetanguliza timu ya watu kwa ajili ya kuandaa mikakati na kuhakikisha timu yao haifanyiwi vitendo...

MAJEMBE MAWILI KUTUA SIMBA

NA ZAITUNI KIBWANA SIMBA wanatarajia kusajili wachezaji wawili katika dirisha dogo la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, linalotarajiwa kufungwa Desemba 15, mwaka huu. Kamati ya usajili ya Simba inayoongozwa na Mwenyekiti wake, Zakaria Hanspope, inaendelea kufanya usajili kwa umakini baada...
- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...
- Advertisement -

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...