Tuesday, November 24, 2020

TAKWIMU ZA ARSENAL UGENINI AIBU

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LONDON, England

MAMBO ni mabaya sana kwa sasa ndani ya Arsenal, takwimu zinaonyesha klabu hiyo imeshindwa kufurukuta kwenye mechi za ugenini tofauti na zile za nyumbani.

Nafasi ya Arsene Wenger kwenye klabu hiyo ya Emirates inaendelea kuwagawa mashabiki na wachambuzi ambao wanashindwa kuelewa kwamba kocha huyo ndiye anastahili kubebeshwa zigo la lawama kwa kushindwa kufanya vizuri kwa Gunners msimu huu.

Ila ukiangalia takwimu hizo za Gunners kwenye mechi za Ligi Kuu England msimu huu dhidi ya timu zinazoshika nafasi 10 za juu, utagundua kwamba kuna kitu hakiendi sawa.

Rekodi hiyo ya Arsenal kwa timu zilizopo nafasi sita za juu ilikuwa ikifahamika, lakini kwa sasa inaonekana kupanuka zaidi na Gunners kufanya vibaya kwa timu zinazoshika nafasi ya kutoka juu hadi katikati ya msimamo wa ligi.

Baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Manchester United, Novemba mwaka jana, ndiyo pointi pekee ambayo Arsenal wamebeba kutoka ugenini dhidi ya timu zilizopo nafasi sita za juu kwenye msimamo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -