Wednesday, October 28, 2020

Tambwe aenda Oktoba mosi na siri nzito

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA HUSSEIN OMAR

ZIKIWA zimebaki siku chache kabla ya Yanga kuivaa Simba, straika nyota wa timu hiyo Mrundi, Amissi Tambwe,  amesema amekiona kikosi cha Simba,  lakini ana siri nzito moyoni kuelekea katika pambano hilo litakalopigwa Oktoba mosi mwaka huu kwenye  Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Yanga kabla ya kukutana na watani wa jadi Simba watacheza na Stand United keshokutwa kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.

Akizungumza na BINGWA jana kwa simu kutoka Shinyanga, Tambwe alisema  kwa sasa anaendelea na mazoezi, lakini hawezi kuizungumzia Simba wakati huu wakijiandaa kupambana.

Tambwe alisema kwa sasa hawezi  kuzungumzia mechi hiyo kwa undani zaidi, lakini atafanya hivyo baada ya dakika 90.

“Hapana siwezi kusema lolote kama nitafunga au sitafunga. Sitaki kuwazungumzia Simba, naomba niache hadi mchezo ukimalizika nitatoa maoni yangu,” alisema Tambwe.

Alisema anaomba uzima lakini asipate majeraha ili asikose mechi hiyo ambayo inatarajia kuwa na ushindani mkali kutokana na Simba kufungwa mechi zote mbili msimu uliopita.

Tambwe ambaye ni mfungaji bora wa msimu uliopita aliyefikisha mabao 21, kwa sasa amefunga mabao matatu baada ya kucheza mechi tatu za ligi hiyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -