Sunday, October 25, 2020

Tambwe airudia Kagera Sugar leo

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA MARTIN MAZUGWA,

MSHAMBULIAJI wa kutegemewa wa Yanga, Amis Tambwe, yuko fiti kuikabili Kagera Sugar leo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.

Tambwe alikuwa nje ya dimba kwa takribani wiki mbili akiuguza jeraha kichwani baada ya kuumia wakati akiichezea Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar uliomalizika kwa kikosi chake kuibuka na ushindi wa mabao 3-1.

Daktari wa Yanga, Edward Samwel, alisema afya ya mchezaji huyo imeimarika baada ya kupata matibabu ya jeraha alilolipata kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa.

“Kwa sasa anaweza kutumika kwani jeraha alilopata kwa kiasi kikubwa limepona, kimsingi halikuwa tatizo la kumfanya akae nje kwa muda mrefu. Kama angekuwa na mazoezi hata katika mchezo na Toto angecheza,” alisema daktari huyo.

Katika hatua nyingine, Daktari Samweli alisema timu hiyo itaendelea kuikosa huduma ya beki wake wa kulia, Juma Abdul ambaye bado anaendelea na matibabu ya misuli.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -