Saturday, November 28, 2020

TAMBWE ARUDISHA IMANI YA MASHABIKI YANGA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA HUSSEIN OMAR

MASHABIKI wa Yanga wana hofu na hatima ya majeraha ya straika, Amissi Tambwe, lakini mwenyewe amewatuliza baada ya kusema leo ataungana na wachezaji ili kujifua kwa ajili ya mechi zilizobaki za Ligi Kuu Bara na michuano ya Kombe la Shirikisho.

Tambwe ambaye mpaka sasa ameifungia Yanga mabao 9 katika Ligi Kuu Bara msimu huu, ameliambia BINGWA kuwa hali ya afya yake imezidi kuimarika hatua ambayo inampa matumaini ya kucheza mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya MC Alger.

“Nimesikia ratiba tunacheza na Waarabu, mimi niseme kitu kimoja, Inshaalah Mungu akijalia kama mambo yatakwenda vizuri nitakuwemo uwanjani siku hiyo kuitetea timu yangu,” alisema Tambwe.

Alisema yeye binafsi hawahofii wapinzani wao kwakuwa anaamini Yanga ina kikosi bora chenye uwezo wa kucheza na timu yoyote na kupata matokeo bora.

“Tunajua tulikosea wapi na nini tunatakiwa kufanya kila kitu kipo sawa, mimi mwenyewe kila siku nikitoka hospitali naenda mazoezini kuwaangalia wenzangu wanachokifanya na kupeana ushauri namna gani tunaweza kufanya ili kupata matokeo.

“Kufunga au kutokufunga katika michezo ya kimataifa kwangu si ishu yote yanatokana na mipango ya Mungu ninachoomba timu ifanye vizuri,” alisema Tambwe.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -