Tuesday, November 24, 2020

TAMBWE: MSICHUKULIE POA SIMBA BADO TISHIO

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAINAB IDDY

STRAIKA wa Yanga, Amissi Tambwe, amesema licha ya timu yao kuongoza Ligi Kuu Tanzania Bara hawatakiwi kubweteka kwa kuwa pointi moja si yakutamba nayo kwenye ligi yenye ushindani.

Akizungumza na BINGWA jana, Tambwe alijizuia kusema wazi kwamba timu yake ina asilimia kubwa ya kutwaa taji la ubingwa msimu huu kwa madai kwamba hata wapinzani wao Simba wana fursa hiyo lakini ikiwa wao watateleza.

“Tunatakiwa kuendelea kujituma kwa hali yoyote ili tuweze kulitetea taji letu, kwani kuwapita Simba pointi moja si kitu cha kujigamba kwamba tushachukua ubingwa kwa sababu kila mmoja ana mipango ya kwenye mechi zilizosalia,” alisema Tambwe.

Alisema kutokana na hali hiyo, wanatakiwa kupigana kwa nguvu na kuhakikisha wanaepukana na hujuma za wapinzani wao Simba.

Katika msimamo wa Ligi Kuu Bara, Yanga inaongoza ikiwa na pointi 56 ikifuatiwa na Simba yenye pointi 55, huku kila timu ikiwa imecheza mechi 25 na kubakiwa michezo mitano pekee.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -